Timu ta
Taifa ya Tanzania (Taifa stars) leo imetoa sare ya kutokufunga na
Timu ya Angola katika michuano ya COSAFA 2017 inayoendelea nchini Africa ya
Kusini.
Game za leo Tanzania ilicheza dhidi ya Angola na kulazimishwa sare tasa wakati game
ya Malawi na Mauritius imemalizika kwa sare tasa pia hivyo Tanzania bado anaendelea kuongoza Kundi A kwa kuwa na point nne sawa na Angola ila anaongoza kwa tofauti ya magoli,
michuano hii ya COSAFA 2017 timu vinara wa makundi ndio watafuzu
kucheza robo fainali.
No comments:
Post a Comment