- CUF watia dosari baada ya kuingilia msafara
- Waitara atamba kuipoteza CCM
Wanachama wa CHADEMA katika msafara wa kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Igunga |
Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusababisha fujo |
Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga) |
Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu |
Watu wa baiskeli nao hawakuwa nyuma |
Vijana, watoto, kwa wazee katika maandamano |
Hatimaye wakafika ofisi ya Mkurugenzi mnamo saa saba na nusu mchana |
Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga |
Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM |
Kashindye akisaini fomu za kukabidhi |
Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu |