Maelfu ya Wananchi wa Igunga walijitokeza katika maandamano ya kuzindua kampeni ya uchaguzi mdogo ya CHADEMA
|
Mbunge wa jimbo la Ubungo Mhe John Mnyika akihutubia maelfu ya wananchi ya wananchi wa Igunga siku ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga |
|
Mbunge wa Maswa Mashariki Mhe. Sylvester Kasulumbai akihutubia maelfu ya wananchi wa Igunga |
|
Mhe. Suzan Kiwanga Mbunge wa CHADEMA viti maalum mkoa wa Morogoro akitoa salamu za ufunguzi wa kampeni kwa wananchi wa Igunga |
|
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Mbaruku Mohamed akiwasalimia wana Igunga |
|
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar, akihutubia Wananchi wa Igunga |
|
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa akihutubia wananchi wa Igunga katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa mdogo wa jimbo la Igunga kufuatia kujiuzulu kwa Rostam Aziz aliyekuwa mbunge wa Igunga kwa miaka 18 |
|
Ndugu Joseph Kashindye, mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA akiomba kura kwa wananchi wa Igunga |
|
Maelfu ya wananchi katika uwanja wa Sokoine wakimsikiliza Mhe. Mbowe |
|
Mwanasiasa mahili Fred Mpendazoe aliwasalimia wananchi wa Igunga |
|
Wananchi wa Igunga wakipunga mikono hewani kama ishara ya kukiaga Chama Cha Mapinduzi |
|