| Wanaharakati wa Tumaini University wakimtaka Rais ajiuzulu |
| Wanafunzi wakiwa na hasira balaa!!! |
| "Hatukubali mpaka kieleweke na fedha zetu zirudi" Haya ndio maneno yalisikika kutoka vinywa wanaharakati hawa. |
| Tunamtaka atoke!!!!! |
| John K. Juma kwa unyooooonge! akakubali kuivunja serikali yake |
| Hapa anatangaza kuvunja bunge |
| Kisha akatangaza kuvunja Baraza la Mawaziri |
| Ndipo vita ilipohamia San Ciro bar, wakiamini kuwa baa hiyo inamilikiwa na John K. Juma |
| Mashuhuda wa tukio wengine full kunywa bia za bure |
| Wengine wamesimama mbali na tukio wakiogopa FFU |
| Godwin Kunambi akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuvunjwa kwa serikali ya wanafunzi |
| Akithibitisha ufisadi wa serikali ya John K. Juma. |