Jackline Sombe akitoa shukurani kwa niaba ya BAJ 2 |
Ni wakati wa vinywaji na maongezi ya hapa na pale, tuburudike!!! |
Paula akiwaaga wana BAJ |
Inno naye anaaga wana BAJ |
Hawa ndio wawakilishi wa BAJ 3 wakitoa maneno ya kuaga |
Mbilinyi |
Wanafunzi wa shahada ya Utalii wakiwa Cafeterial Hall Lecture |
Umakini darasani ni msingi wa mafanikio |
Muhadhili wa utalii Geofrey Matata akisikiliza presentation ya vijana wake (BACAT 2) |
Kama kawaida wapo wanaochapa usingizi darasani |
Katika uwasilishaji |
E bwana da!! Kipemba anawaza magoli ya Arsenal tu!!! wala hayupo darasani |
Nilimpa zawadi ya Mbuzi kumuaga muhadhili mwenzangu aliyahama |
Mwanamuziki wa kizazi kipya Grace Matata katika zoezi |
Sasa fani imeingiliwa!!! na wewe ticha? |
Wahadhili wa Shahada ya Utalii katika chuo cha Tumaini |
Mackline ndani ya chapel akining'iniza mpini mzito |
Mzee wa rhumba, Isac Rwechungula akisukuma sebene la Yesu |
Sister Ulumbi, Peris na Riziki wakitumbuiza nyimbo motomoto na kwaya ya Faith |
kama kawaida shukurani maalum zilitolewa na akina dada hawa |
Da! Peris we mkali.... |
Baada ya ibada ya kwanza, chai sister Ulumbi & Elieza wakipata breakfast ya ukweli |
Mulokozi nae alikuwepo kama kawaida yake |
Shaltiel, Asia na Josephine wakipata breakfast baada ya ibada ya kwanza. Wote hawa ni wanakwaya ya Faith kutoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa |