![]() |
| The US embassy PR (in black suit) speaking with BAJ 2 students during study tour |
![]() |
| Madam Rachel Yusuph with journalism students at US embassy Dar es salaam |
![]() |
| Add caption |
![]() |
| Front line, (left) Henry Mbilinyi and Elisha Magolanga at the US embassy |
![]() |
| Hapa ni mara tu! walipowasili Hospitalini |
![]() |
| Wakisubiriana kuingia wodini kwa pamoja |
![]() |
| Wakifanya mahojiano na muuguzi wa magonjwa ya vichaa |
![]() |
| Muuguzi akieleza juu ya ugumu wa kazi ya kutibu vichaa |
![]() |
| Wakiwa na zawadi zao kama mamajusi wa mashariki |
![]() |
| Bonge naye hakuwa mbali na suala zima la kubeba watoto wachanga waliozaliwa hospitalini hapo |
![]() |
| Ee bwana! katoto kazuri haka!!! |
![]() |
| Taratibu wakijongea wodi ya wazazi ili kutoa zawadi zao kwa wazazi |
![]() |
| Pole! mama Mungu atakusaidia utapona tu! hayo ndio maneno yaliyokuwa yakisikika kutoka kwa wanafunzi hawa |
![]() |
| Wakafuka kwa muuguziwa wodi ya wanawake kupata maelezo juu ya uwajibikaji na changamoto wanazozipata kazini kutoka kwa muuguzi |
![]() |
| Wakiwa bado katika mchakato wa kutoa zawadi zao kwa wagonnjwa |
![]() |
| Babu huyu ni ombaomba katika lango kuu la hospitali ya mkoa wa Iringa CAG hawakumuacha hivihivi bali walimpa na yeye zawadi |
![]() |
| Sasa wanaelekea kumaliza ziara yao. Wanakumbushwa kuwa kuna wanafunzi wenzao wamelazwa hospitalini hapo |
![]() |
| Dada huyu akipokea simu yake |
![]() |
| Ndipo walipofika wodi namba 10 kumuona CR wa BAJ 2 (Henry Mbilinyi) alipokuwa amelazwa. Drip ya kwinini kama kawaida ya malaria |
![]() |
| Baada ya mzunguko mrefu wengine waliamua kukaa na kujipumzisha kivulini kwa soda briiiiidi1 kabisa huku wakizungumza kwa furaha |
![]() |
| Frank Kimaro (kushoto) ndiye mwandishi wa habari wa zamu aliyefuatana na kikundi hiki katika kuhakikisha mchakato mzima wa habari unafaikiwa |
![]() |
| Kijana aliyapigwa radi katika kijiji cha Dbaga mkoani Iringa akiwa amelazwa |
| Wanaharakati wa Tumaini University wakimtaka Rais ajiuzulu |
| Wanafunzi wakiwa na hasira balaa!!! |
| "Hatukubali mpaka kieleweke na fedha zetu zirudi" Haya ndio maneno yalisikika kutoka vinywa wanaharakati hawa. |
| Tunamtaka atoke!!!!! |
| John K. Juma kwa unyooooonge! akakubali kuivunja serikali yake |
| Hapa anatangaza kuvunja bunge |
| Kisha akatangaza kuvunja Baraza la Mawaziri |
| Ndipo vita ilipohamia San Ciro bar, wakiamini kuwa baa hiyo inamilikiwa na John K. Juma |
| Mashuhuda wa tukio wengine full kunywa bia za bure |
| Wengine wamesimama mbali na tukio wakiogopa FFU |
| Godwin Kunambi akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuvunjwa kwa serikali ya wanafunzi |
| Akithibitisha ufisadi wa serikali ya John K. Juma. |
| Wanafunzi wa shahada ya Utalii wakiwa Cafeterial Hall Lecture |
| Umakini darasani ni msingi wa mafanikio |
| Muhadhili wa utalii Geofrey Matata akisikiliza presentation ya vijana wake (BACAT 2) |
| Kama kawaida wapo wanaochapa usingizi darasani |
| Katika uwasilishaji |
| E bwana da!! Kipemba anawaza magoli ya Arsenal tu!!! wala hayupo darasani |
| Nilimpa zawadi ya Mbuzi kumuaga muhadhili mwenzangu aliyahama |
| Mwanamuziki wa kizazi kipya Grace Matata katika zoezi |
| Sasa fani imeingiliwa!!! na wewe ticha? |
| Wahadhili wa Shahada ya Utalii katika chuo cha Tumaini |