Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli
Ambilikile Mwasakile (78) akutoa dawa kwa wagonjwa. Umati mkubwa wa watu kutoka ndani na nje ya nchi wameendelea kupangafoleni kupata matibabu kwa mzee huyu licha ya serikali kuzuia huduma hiyo kuendelea kutolewa, kwa hofu ya uwezekano wa kuwepo kwa mlipoko wa magonjwa sabau ya msongamano mkubwa wa watu. Baadhi ya wagonjwa wamekuwa wakitoroshwa hospitalini ili kwenda kutibiwa Loriondo |
No comments:
Post a Comment