Thursday, March 10, 2011

Community Action Group kutoka Tumaini University wlipotembelea hospitali ya mkoa wa Iringa

Hapa ni mara tu! walipowasili Hospitalini
Wakisubiriana kuingia wodini kwa pamoja

Wakifanya mahojiano na muuguzi wa magonjwa ya vichaa

Muuguzi akieleza juu ya ugumu wa kazi ya kutibu vichaa
Wakiwa na zawadi zao kama mamajusi wa mashariki
Bonge naye hakuwa mbali na suala zima la kubeba
watoto wachanga waliozaliwa hospitalini hapo
Ee bwana! katoto kazuri haka!!!
Taratibu wakijongea wodi ya wazazi ili kutoa zawadi zao kwa wazazi
Pole! mama Mungu atakusaidia utapona tu! hayo ndio maneno
yaliyokuwa yakisikika kutoka kwa wanafunzi hawa
Wakafuka kwa muuguziwa wodi ya wanawake kupata maelezo juu ya
uwajibikaji na changamoto wanazozipata kazini kutoka kwa muuguzi
Wakiwa bado katika mchakato wa kutoa zawadi zao kwa wagonnjwa
Babu huyu ni ombaomba katika lango kuu la hospitali ya mkoa wa Iringa
 CAG hawakumuacha hivihivi bali walimpa na yeye zawadi
Sasa wanaelekea kumaliza ziara yao. Wanakumbushwa kuwa
kuna wanafunzi wenzao wamelazwa hospitalini hapo
Dada huyu akipokea simu yake
Ndipo walipofika wodi namba 10 kumuona CR wa BAJ 2 (Henry Mbilinyi)
alipokuwa amelazwa. Drip ya kwinini kama kawaida ya malaria
Baada ya mzunguko mrefu wengine waliamua kukaa na kujipumzisha
kivulini kwa soda briiiiidi1 kabisa huku wakizungumza kwa furaha
Frank Kimaro (kushoto) ndiye mwandishi wa habari wa zamu aliyefuatana
na kikundi hiki katika kuhakikisha  mchakato mzima wa habari unafaikiwa
Kijana aliyapigwa radi katika kijiji cha Dbaga mkoani Iringa akiwa amelazwa

No comments:

Post a Comment