Monday, April 11, 2011

The 17th commemoration of Rwanda Genocide at Tumaini University- Iringa

  • The guest of honor Hon. Lazaro Nyalandu, the Minister of Trade and Industries
  • The programme planned by Tumaini University Law Faculty
Law Faculty Dean, Renatus Mgongo (left) Hon. Lazaro Nyalandu MP (centre),
and Bishop Owdenberg Mdegela after the arrival of The Minister of Trade and Industries


Thursday, March 10, 2011

Vigogo wavuruga utaratibu Loriondo

Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli
 Ambilikile Mwasakile (78) akutoa dawa kwa wagonjwa. Umati mkubwa wa watu kutoka ndani na nje ya nchi wameendelea kupangafoleni kupata matibabu kwa mzee huyu licha ya serikali kuzuia huduma hiyo kuendelea kutolewa, kwa hofu ya uwezekano wa kuwepo kwa mlipoko wa magonjwa sabau ya msongamano mkubwa wa watu. Baadhi ya wagonjwa wamekuwa wakitoroshwa hospitalini ili kwenda kutibiwa Loriondo

Community Action Group kutoka Tumaini University wlipotembelea hospitali ya mkoa wa Iringa

Hapa ni mara tu! walipowasili Hospitalini
Wakisubiriana kuingia wodini kwa pamoja

Wakifanya mahojiano na muuguzi wa magonjwa ya vichaa

Muuguzi akieleza juu ya ugumu wa kazi ya kutibu vichaa
Wakiwa na zawadi zao kama mamajusi wa mashariki
Bonge naye hakuwa mbali na suala zima la kubeba
watoto wachanga waliozaliwa hospitalini hapo
Ee bwana! katoto kazuri haka!!!
Taratibu wakijongea wodi ya wazazi ili kutoa zawadi zao kwa wazazi
Pole! mama Mungu atakusaidia utapona tu! hayo ndio maneno
yaliyokuwa yakisikika kutoka kwa wanafunzi hawa
Wakafuka kwa muuguziwa wodi ya wanawake kupata maelezo juu ya
uwajibikaji na changamoto wanazozipata kazini kutoka kwa muuguzi
Wakiwa bado katika mchakato wa kutoa zawadi zao kwa wagonnjwa
Babu huyu ni ombaomba katika lango kuu la hospitali ya mkoa wa Iringa
 CAG hawakumuacha hivihivi bali walimpa na yeye zawadi
Sasa wanaelekea kumaliza ziara yao. Wanakumbushwa kuwa
kuna wanafunzi wenzao wamelazwa hospitalini hapo
Dada huyu akipokea simu yake
Ndipo walipofika wodi namba 10 kumuona CR wa BAJ 2 (Henry Mbilinyi)
alipokuwa amelazwa. Drip ya kwinini kama kawaida ya malaria
Baada ya mzunguko mrefu wengine waliamua kukaa na kujipumzisha
kivulini kwa soda briiiiidi1 kabisa huku wakizungumza kwa furaha
Frank Kimaro (kushoto) ndiye mwandishi wa habari wa zamu aliyefuatana
na kikundi hiki katika kuhakikisha  mchakato mzima wa habari unafaikiwa
Kijana aliyapigwa radi katika kijiji cha Dbaga mkoani Iringa akiwa amelazwa

Sunday, February 27, 2011

Mapinduzi yalianzia Tunisia na Misri sasa Tumaini University Iringa

Wanafunzi wamlazimisha rais wa TUSO IUCO kujiuzulu
Wanaharakati wa Tumaini University wakimtaka Rais ajiuzulu

Wanafunzi wakiwa na hasira balaa!!!

"Hatukubali mpaka kieleweke na fedha zetu zirudi"
Haya ndio maneno yalisikika kutoka vinywa wanaharakati hawa.

Tunamtaka atoke!!!!!



John K. Juma kwa unyooooonge! akakubali kuivunja serikali yake

Hapa anatangaza kuvunja bunge

Kisha akatangaza kuvunja Baraza la Mawaziri 

Ndipo vita ilipohamia San Ciro bar,
wakiamini kuwa baa hiyo inamilikiwa na John K. Juma

Mashuhuda wa tukio wengine full kunywa bia za bure


Wengine wamesimama mbali na tukio wakiogopa FFU

Godwin Kunambi akizungumza na waandishi wa habari
baada ya kuvunjwa kwa serikali ya wanafunzi

Akithibitisha ufisadi wa serikali ya John K. Juma.
Ni baada ya ufisadi kukithili katika serikali yake

Thursday, February 24, 2011

Tujikumbushe BAJ kuwaaga Inno, Paula, na Juka CHAULA Hotel

Jackline Sombe akitoa shukurani kwa niaba ya BAJ 2


Ni wakati wa vinywaji na maongezi ya hapa na pale, tuburudike!!!

Paula akiwaaga wana BAJ

Inno naye anaaga wana BAJ

Hawa ndio wawakilishi wa BAJ 3 wakitoa maneno ya kuaga

Mbilinyi

BACAT ndani ya Lecture

Wanafunzi wa shahada ya Utalii wakiwa
Cafeterial Hall Lecture

Umakini darasani ni msingi wa mafanikio

Muhadhili wa utalii Geofrey Matata akisikiliza presentation
 ya vijana wake (BACAT 2)

Kama kawaida wapo wanaochapa usingizi darasani

Katika uwasilishaji

E bwana da!! Kipemba anawaza magoli ya
Arsenal tu!!! wala hayupo darasani 

Nilimpa zawadi ya Mbuzi kumuaga muhadhili mwenzangu aliyahama

Mwanamuziki wa kizazi kipya Grace Matata katika zoezi

Sasa fani imeingiliwa!!! na wewe ticha?

Wahadhili wa Shahada ya Utalii katika chuo cha Tumaini