| Jackline Sombe akitoa shukurani kwa niaba ya BAJ 2 |
| Ni wakati wa vinywaji na maongezi ya hapa na pale, tuburudike!!! |
| Paula akiwaaga wana BAJ |
| Inno naye anaaga wana BAJ |
| Hawa ndio wawakilishi wa BAJ 3 wakitoa maneno ya kuaga |
| Mbilinyi |
| Wanafunzi wa shahada ya Utalii wakiwa Cafeterial Hall Lecture |
| Umakini darasani ni msingi wa mafanikio |
| Muhadhili wa utalii Geofrey Matata akisikiliza presentation ya vijana wake (BACAT 2) |
| Kama kawaida wapo wanaochapa usingizi darasani |
| Katika uwasilishaji |
| E bwana da!! Kipemba anawaza magoli ya Arsenal tu!!! wala hayupo darasani |
| Nilimpa zawadi ya Mbuzi kumuaga muhadhili mwenzangu aliyahama |
| Mwanamuziki wa kizazi kipya Grace Matata katika zoezi |
| Sasa fani imeingiliwa!!! na wewe ticha? |
| Wahadhili wa Shahada ya Utalii katika chuo cha Tumaini |
![]() |
| Mackline ndani ya chapel akining'iniza mpini mzito |
![]() |
| Mzee wa rhumba, Isac Rwechungula akisukuma sebene la Yesu |
![]() |
| Sister Ulumbi, Peris na Riziki wakitumbuiza nyimbo motomoto na kwaya ya Faith |
![]() |
| kama kawaida shukurani maalum zilitolewa na akina dada hawa |
![]() |
| Da! Peris we mkali.... |
![]() |
| Baada ya ibada ya kwanza, chai sister Ulumbi & Elieza wakipata breakfast ya ukweli |
![]() |
| Mulokozi nae alikuwepo kama kawaida yake |
![]() |
| Shaltiel, Asia na Josephine wakipata breakfast baada ya ibada ya kwanza. Wote hawa ni wanakwaya ya Faith kutoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa |
![]() |
| Usidharau dafu embe tunda la msimu Geofrey Matata (katikati), Muhadhili wa Utalii, Chuo kikuu Tumaini-Iringa akila embe |
![]() |
| Hapa naskia raha!! manake embe linapatikana kwa machale, sasa leo nimelifuma |
![]() |
| Hapa matumbo joto! Wengine hatujawahi kuvuka maji hata ya dimbwi |
![]() |
| Nimeshashiba embe sasa ni story tu na vijana wangu wa BACAT |
![]() |
| Baada ya mishemishe za hapa na pale tuliamua kupumzika kivulini kupunga upepo |
![]() |
| Eti elimu na uvuvi! Je ni kweli watoto wa shule hii wanafundishwa uvuvi kama ujasiliamali? |
![]() |
| Mambo ya Beach |
![]() |
| Mambo ya BACAT ni Ulayaulaya |
![]() |
| Add caption |
![]() |
| Hatukuwa na wasiwasi wa kutekwa na maharamia wa Kisomali baharini, kwani hata sisi tuna Msomali baharia |
![]() |
| Michezo kama kawaida ya beach, Tunajivunia fahari ya mlima Kilimanjaro kila mmoja wetu anajaribu kutengeneza mlima |
![]() |
| Jioni murua na upepo mwanana wa Bahari ya Hindi |
![]() |
| Mambo ya Matema Beach misosi ya kumwaga |
![]() |
| Da!! Neema, nimependa pozi lako sjui una njaa? |
![]() |
| Chapel ya zamaaani kilwa huko. |