Usidharau dafu embe tunda la msimu Geofrey Matata (katikati), Muhadhili wa Utalii, Chuo kikuu Tumaini-Iringa akila embe |
Hapa naskia raha!! manake embe linapatikana kwa machale, sasa leo nimelifuma |
Hapa matumbo joto! Wengine hatujawahi kuvuka maji hata ya dimbwi |
Nimeshashiba embe sasa ni story tu na vijana wangu wa BACAT |
Baada ya mishemishe za hapa na pale tuliamua kupumzika kivulini kupunga upepo |
Eti elimu na uvuvi! Je ni kweli watoto wa shule hii wanafundishwa uvuvi kama ujasiliamali? |
Mambo ya Beach |
Mambo ya BACAT ni Ulayaulaya |
Add caption |
Hatukuwa na wasiwasi wa kutekwa na maharamia wa Kisomali baharini, kwani hata sisi tuna Msomali baharia |
Michezo kama kawaida ya beach, Tunajivunia fahari ya mlima Kilimanjaro kila mmoja wetu anajaribu kutengeneza mlima |
Jioni murua na upepo mwanana wa Bahari ya Hindi |
Mambo ya Matema Beach misosi ya kumwaga |
Da!! Neema, nimependa pozi lako sjui una njaa? |
Chapel ya zamaaani kilwa huko. |
Nimejikubali mi mkali
ReplyDeleteE bawana hapo sawa
ReplyDelete