Sunday, February 27, 2011

Mapinduzi yalianzia Tunisia na Misri sasa Tumaini University Iringa

Wanafunzi wamlazimisha rais wa TUSO IUCO kujiuzulu
Wanaharakati wa Tumaini University wakimtaka Rais ajiuzulu

Wanafunzi wakiwa na hasira balaa!!!

"Hatukubali mpaka kieleweke na fedha zetu zirudi"
Haya ndio maneno yalisikika kutoka vinywa wanaharakati hawa.

Tunamtaka atoke!!!!!



John K. Juma kwa unyooooonge! akakubali kuivunja serikali yake

Hapa anatangaza kuvunja bunge

Kisha akatangaza kuvunja Baraza la Mawaziri 

Ndipo vita ilipohamia San Ciro bar,
wakiamini kuwa baa hiyo inamilikiwa na John K. Juma

Mashuhuda wa tukio wengine full kunywa bia za bure


Wengine wamesimama mbali na tukio wakiogopa FFU

Godwin Kunambi akizungumza na waandishi wa habari
baada ya kuvunjwa kwa serikali ya wanafunzi

Akithibitisha ufisadi wa serikali ya John K. Juma.
Ni baada ya ufisadi kukithili katika serikali yake

Thursday, February 24, 2011

Tujikumbushe BAJ kuwaaga Inno, Paula, na Juka CHAULA Hotel

Jackline Sombe akitoa shukurani kwa niaba ya BAJ 2


Ni wakati wa vinywaji na maongezi ya hapa na pale, tuburudike!!!

Paula akiwaaga wana BAJ

Inno naye anaaga wana BAJ

Hawa ndio wawakilishi wa BAJ 3 wakitoa maneno ya kuaga

Mbilinyi

BACAT ndani ya Lecture

Wanafunzi wa shahada ya Utalii wakiwa
Cafeterial Hall Lecture

Umakini darasani ni msingi wa mafanikio

Muhadhili wa utalii Geofrey Matata akisikiliza presentation
 ya vijana wake (BACAT 2)

Kama kawaida wapo wanaochapa usingizi darasani

Katika uwasilishaji

E bwana da!! Kipemba anawaza magoli ya
Arsenal tu!!! wala hayupo darasani 

Nilimpa zawadi ya Mbuzi kumuaga muhadhili mwenzangu aliyahama

Mwanamuziki wa kizazi kipya Grace Matata katika zoezi

Sasa fani imeingiliwa!!! na wewe ticha?

Wahadhili wa Shahada ya Utalii katika chuo cha Tumaini

Jumapili katika, ibada Faith Choir katika huduma ya uimbaji

Mackline ndani ya chapel akining'iniza
mpini mzito

Mzee wa rhumba, Isac Rwechungula
akisukuma sebene la Yesu

Sister Ulumbi, Peris na Riziki wakitumbuiza
 nyimbo motomoto na kwaya ya Faith

kama kawaida shukurani maalum
zilitolewa na akina dada hawa

Da! Peris we mkali....

Baada ya ibada ya kwanza, chai
sister Ulumbi & Elieza wakipata breakfast ya ukweli

Mulokozi nae alikuwepo kama kawaida yake

Shaltiel, Asia na Josephine wakipata
 breakfast baada ya ibada ya kwanza.
Wote hawa ni wanakwaya ya Faith
kutoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa

Thursday, February 17, 2011

Maafa ya mabomu Gongo la Mboto

Msafara wa Rais Kikwete akielekea Gongo la Mboto.

Rais Kikwete akitoa pole kwa wahanga wa mabomu

Ganda la bomu lililolipuka huko gongo la Mboto







Baadhi ya wahanga wa mabomu katika uwanja wa uhuru

Maafa ya mabomu Gongo la Mboto

Saturday, February 12, 2011

Valentine's Day Love Poem

Valentine sayings that express love are probably the most popular kind of Valentine message. Here’s a Valentine love poem in Valentine rhyme. This is free Valentine poetry that anyone would welcome. Send this Valentines Day verse as a Valentine message to your sweetheart.





Year Round Valentine

I love you all through February,
Not just on Valentine’s Day,
I cherish you when flowers of spring
Appear in the midst of May,

I adore you in the summer,
When the air is filled with heat,
Without you in my life each day,
I wouldn’t be complete,

I treasure you in fall,
When leaves are turning gold,
I loved you when you were younger,
I’ll love you when you’re old,

I prize you in the winter,
When colder days are here,
I love you, love you all the time,
Every minute of the year

So I’ll give to you this Valentine,
But I want to let you know,
It’s not just today, but always,
That I will love you so.

By Elisha Magolanga

Haya ndiyo mambo ya BACAT huko!!! Kilwa

Usidharau dafu embe tunda la msimu
Geofrey Matata (katikati), Muhadhili wa Utalii, Chuo kikuu Tumaini-Iringa akila embe

Hapa naskia raha!! manake embe linapatikana kwa machale, sasa leo nimelifuma


Hapa matumbo joto! Wengine hatujawahi kuvuka maji hata ya dimbwi

Nimeshashiba embe sasa ni story tu na vijana wangu wa BACAT

Baada ya mishemishe za hapa na pale tuliamua kupumzika kivulini kupunga upepo

Eti elimu na uvuvi! Je ni kweli watoto wa shule hii wanafundishwa uvuvi kama ujasiliamali?

Mambo ya Beach

Mambo ya BACAT ni Ulayaulaya

Add caption



Hatukuwa na wasiwasi wa kutekwa na maharamia wa Kisomali baharini, kwani hata sisi tuna Msomali baharia


Michezo kama kawaida ya beach, Tunajivunia fahari ya mlima Kilimanjaro kila mmoja wetu anajaribu kutengeneza mlima

Jioni murua na upepo mwanana wa Bahari ya Hindi




Mambo ya Matema Beach misosi ya kumwaga

Da!! Neema, nimependa pozi lako sjui una njaa?
 
Chapel ya zamaaani kilwa huko.