Monday, September 12, 2011
Thursday, September 8, 2011
Kishindo cha CHADEMA chatikisa Igunga
- Dr. Slaa afichua mkakati wa CCM na CUF kuiandama CHADEMA
- Mbowe amng'akia JK, asema ameshindwa kuwaondolea Watanzania umasikini
- Mnyika: Kafumu ameshindwa kuishauri serikali yake katika mikataba mibovu ya madini
| Mwanamama mkeleketwa wa CHADEMA Igunga akielekea katika kijiji cha Makomelo (Km 8 kutokamjini) kwa mapokezi ya viongoziwa CHADEMA Taifa |
| Wananchi wa Igunga wakimsubili Dr Slaa na Mbowe kwa hamu kubwa |
| Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania, huyu ni mwananchi wa Igunga aliyekutwa pembezoni mwa barabara akiwa amelewa chakali huku amevaa sare ya CCM, (TAFAKARI!!!) |
| Mbunge wa Mbeya mjini Mhe. Sugu akilakiwa kwa shangwe na wananchi wa Igunga baada ya kuwasili |
| Viongozi na wabunge CHADEMA wakimsubiri Mwenyekiti wa taifa |
| Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe akipokelewa ma mwenyeji wake mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora, Mbaruku Mohamed baada ya kuwasili wilayani Igunga |
| Dr. Wilbroad Slaa akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili Igunga |
| Licha ya polosi kuwepo, Wananchi walijitolea wenyewe kufanya ulinzi kwa kuwazunguka viongozi wa CHADEMA |
| Maandamano yalichukua Km 8 mpaka kufika eneo la mkutano |
| Mhe. Mnyika katika maandamano |
| Umati mkubwa wa watu walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa Sokoine |
| Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe akimnadi mgombea Joseph Kashindye |
Tuesday, September 6, 2011
CHADEMA yatia fora maandamano ya kurudisha fomu ya ubunge Igunga
- CUF watia dosari baada ya kuingilia msafara
- Waitara atamba kuipoteza CCM
| Wanachama wa CHADEMA katika msafara wa kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Igunga |
| Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusababisha fujo |
| Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga) |
| Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu |
| Watu wa baiskeli nao hawakuwa nyuma |
| Vijana, watoto, kwa wazee katika maandamano |
| Hatimaye wakafika ofisi ya Mkurugenzi mnamo saa saba na nusu mchana |
| Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga |
| Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM |
| Kashindye akisaini fomu za kukabidhi |
| Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu |
| Hatimaye msafara ukafika katika ofisi za CHADEMA wilaya na kuahirishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Ndugu, Mbaruku (Kulia mwenye nguo nyeusi) kwa kusisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi siku ya Alhamisi tarehe 8 sept 2011 siku ya uzinduzi wa kampeni\za uchaguzi. |
CUF warudisha fomu ya ubunge
| Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mahona Leopard (kushoto), baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkurungenzi Mtendaji wa wilaya ya Igunga (Picha na Elisha Magolanga |
| Simamizi wa uchaguzijimbo la Igunga, Protus Magayane akipokea fomu kutoka kwa mgombea wa CUF (Picha na Elisha Magolanga) |
Friday, June 24, 2011
Tujikumbushe uchaguzi wa Raisi wa Serikali ya wanafunzi
Subscribe to:
Posts (Atom)







