Katibu wa uchumi na Fedha Taifa, ambaye pia ni Mratibu wa Uchaguzi wa CCM, jimbo la Igunga, Mwigulu Nchemba, akimtazama Musa Tesha, mfuasi wa CCM (Mussa Tesha) (24) , aliyemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana jana usiku mjini hapa. Tesha amehamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala majira ya saa saba mchana wa leo kwa ndege ya kukodiwa ambayo za kukodi ndege hiyo na tiba zote zinalipwa na CCM. |
Hizo ndiyo gharama za ukombozi
ReplyDelete