Tuesday, September 6, 2011

CHADEMA yatia fora maandamano ya kurudisha fomu ya ubunge Igunga

  • CUF watia dosari baada ya kuingilia msafara
  • Waitara atamba kuipoteza CCM 
Na Elisha Magolanga
Wanachama wa CHADEMA katika msafara wa kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Igunga
Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusababisha fujo

Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga)

Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu

Watu wa baiskeli nao hawakuwa nyuma

Vijana, watoto, kwa wazee katika maandamano

Hatimaye wakafika ofisi ya Mkurugenzi mnamo saa saba na nusu mchana

Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga

Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM

Kashindye akisaini fomu za kukabidhi


Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu

Hatimaye msafara ukafika katika ofisi za CHADEMA wilaya na kuahirishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Ndugu, Mbaruku (Kulia mwenye nguo nyeusi) kwa kusisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi siku ya Alhamisi tarehe 8 sept 2011 siku ya uzinduzi wa kampeni\za uchaguzi.

    CUF warudisha fomu ya ubunge

    Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mahona Leopard (kushoto), baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkurungenzi Mtendaji wa wilaya ya Igunga (Picha na Elisha Magolanga

    Simamizi wa uchaguzijimbo la Igunga, Protus Magayane akipokea fomu kutoka kwa mgombea wa CUF (Picha na Elisha Magolanga)

    Friday, June 24, 2011

    Tujikumbushe uchaguzi wa Raisi wa Serikali ya wanafunzi

    Raisi wa TUSO IUCo





    Wapiga kura wa TUICo katika FOLENI

    Wanafunzi wakitoa maoni yao kwa waandishi wa habari juu ya mchakato mzima wa uchaguzi

    Mpaka saa nne asubuhi uchaguzi haujaanza

    Hatimaye wakaanza kupiga kura

    Perpetuah Tosi na Veronica wakipeana salam za uchaguzi

    Sunday, June 19, 2011

    Journalism students at the US embassy tour - Dar es salaam

    The US embassy PR (in black suit) speaking with BAJ 2 students during study tour

    Madam Rachel Yusuph with journalism students at US embassy Dar es salaam

    Add caption

    Front line, (left) Henry Mbilinyi and Elisha Magolanga at the US embassy

    Monday, April 11, 2011

    The 17th commemoration of Rwanda Genocide at Tumaini University- Iringa

    • The guest of honor Hon. Lazaro Nyalandu, the Minister of Trade and Industries
    • The programme planned by Tumaini University Law Faculty
    Law Faculty Dean, Renatus Mgongo (left) Hon. Lazaro Nyalandu MP (centre),
    and Bishop Owdenberg Mdegela after the arrival of The Minister of Trade and Industries


    Thursday, March 10, 2011

    Vigogo wavuruga utaratibu Loriondo

    Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli
     Ambilikile Mwasakile (78) akutoa dawa kwa wagonjwa. Umati mkubwa wa watu kutoka ndani na nje ya nchi wameendelea kupangafoleni kupata matibabu kwa mzee huyu licha ya serikali kuzuia huduma hiyo kuendelea kutolewa, kwa hofu ya uwezekano wa kuwepo kwa mlipoko wa magonjwa sabau ya msongamano mkubwa wa watu. Baadhi ya wagonjwa wamekuwa wakitoroshwa hospitalini ili kwenda kutibiwa Loriondo