Friday, September 30, 2011

Muslim Scholars urges musilims to abandon CHADEMA

The Secretary General of Muslim Scholars Association, Sheikh Hserally Hussein addressing journalists in Dar es Salaam 

By Elisha Magolanga 


Tanzania Muslim Scholars Association (HAY-ATUL ULAMAA) has urged all Muslims to refrain from supporting CHADEMA after the party rejected to apologize for taking off head cover of Igunga District Commissioner, Fatuma Kimario in one of its campaigns recently.

Addressing Journalists in Dar es Salaam yesterday, the Secretary General of Muslim Scholars Association, Sheikh Hserally Hussein said that CHADEMA were given the grace period to apologize but defied adding that all Muslims should fear it like leprosy.  

“We issued a rare chance of three-day ultimatum for CHADEMA to apologize because its act humiliated Islamic religion but surprisingly CHADEMA refused, which means they did not want to purify their political party” said Sheikh Hserally Hussein .

The Muslim Scholars said CHADEMA has despised and undermined Islamic religion and all Muslims should isolate the party. 

He said Muslims should not vote for CHADEMA MP Candidate Joseph Kashindye of Igunga constituency because the party was fueling violence. 

Recently, Igunga District Commissioner, Fatuma Kimario was roughed up by CHADEMA followers at a campaign at Isakamaliwa ward on grounds that the DC had interfered with their meetings.

Recently, CHADEMA apologized through a member of National Executive Committee Prof. Abdallah Safari who said the DC had put on head cover and not Hjabu’ as muslims claim.

The party urged all Muslims to ignore the propaganda which is perpetrated by party opponents to tarnish Chadema’s image..



Monday, September 12, 2011

Kijana amwagiwa tindikali Igunga

Katibu wa uchumi na Fedha Taifa, ambaye pia ni Mratibu wa Uchaguzi wa CCM, jimbo la Igunga, Mwigulu Nchemba, akimtazama Musa Tesha, mfuasi wa CCM (Mussa Tesha) (24) , aliyemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana jana usiku mjini hapa.  Tesha amehamishiwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dar es Sala majira ya saa saba mchana wa leo kwa ndege ya kukodiwa ambayo za kukodi ndege hiyo na tiba zote zinalipwa na CCM.

Thursday, September 8, 2011

Kishindo cha CHADEMA chatikisa Igunga

  • Dr. Slaa afichua mkakati wa CCM na  CUF kuiandama CHADEMA
  • Mbowe amng'akia JK, asema ameshindwa kuwaondolea Watanzania umasikini
  • Mnyika: Kafumu ameshindwa kuishauri serikali yake katika mikataba mibovu ya madini
Na Elisha Magolanga
Mwanamama mkeleketwa wa CHADEMA Igunga akielekea katika kijiji cha Makomelo (Km 8 kutokamjini) kwa mapokezi ya viongoziwa CHADEMA Taifa
Wananchi wa Igunga wakimsubili Dr Slaa na Mbowe kwa hamu kubwa
Haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania, huyu ni mwananchi wa Igunga aliyekutwa pembezoni mwa barabara akiwa amelewa chakali huku amevaa sare ya CCM, (TAFAKARI!!!)
Mbunge wa Mbeya mjini Mhe. Sugu akilakiwa kwa shangwe na wananchi wa Igunga baada ya kuwasili
Viongozi na wabunge CHADEMA wakimsubiri Mwenyekiti wa taifa
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe akipokelewa ma mwenyeji wake mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora, Mbaruku Mohamed baada ya kuwasili wilayani Igunga
Dr. Wilbroad Slaa akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora mara baada ya kuwasili Igunga
Licha ya polosi kuwepo, Wananchi walijitolea wenyewe kufanya ulinzi kwa kuwazunguka viongozi wa CHADEMA
Maandamano yalichukua Km 8 mpaka kufika eneo la mkutano
Mhe. Mnyika katika maandamano
Maelfu ya Wananchi wa Igunga walijitokeza katika maandamano ya kuzindua kampeni ya uchaguzi mdogo ya CHADEMA 
Mbunge wa jimbo la Ubungo Mhe John Mnyika akihutubia maelfu ya wananchi ya wananchi wa Igunga siku ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga
Mbunge wa Maswa Mashariki Mhe. Sylvester Kasulumbai akihutubia maelfu ya wananchi wa Igunga
Mhe. Suzan Kiwanga Mbunge wa CHADEMA viti maalum mkoa wa Morogoro akitoa salamu za ufunguzi wa kampeni kwa wananchi wa Igunga
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Mbaruku Mohamed akiwasalimia wana Igunga
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar, akihutubia Wananchi wa Igunga
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa akihutubia wananchi wa Igunga katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa mdogo wa jimbo la Igunga kufuatia kujiuzulu kwa Rostam Aziz aliyekuwa mbunge wa Igunga kwa miaka 18
Ndugu Joseph Kashindye, mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA akiomba kura kwa wananchi wa Igunga
Maelfu ya wananchi katika uwanja wa Sokoine wakimsikiliza Mhe. Mbowe
Mwanasiasa mahili Fred Mpendazoe aliwasalimia wananchi wa Igunga


Wananchi wa Igunga wakipunga mikono hewani kama ishara ya kukiaga Chama Cha Mapinduzi
Umati mkubwa wa watu walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa Sokoine
Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe akimnadi mgombea Joseph Kashindye

Tuesday, September 6, 2011

CHADEMA yatia fora maandamano ya kurudisha fomu ya ubunge Igunga

  • CUF watia dosari baada ya kuingilia msafara
  • Waitara atamba kuipoteza CCM 
Na Elisha Magolanga
Wanachama wa CHADEMA katika msafara wa kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo la Igunga
Ghafla wanachama wa CUF wakaingilia kati msafara huo na kusababisha fujo

Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, Joseph Kashindye (Kushoto) akisindikizwa na mamia ya wanchi wa Igunga (Picha na Elisha Magolanga)

Mbunge wa Maswa Mashariki, Mhe, Sylivester Kasulumbai (CHADEMA) akifuatana na mgombea wa Igunga wakati wa kurudisha fomu

Watu wa baiskeli nao hawakuwa nyuma

Vijana, watoto, kwa wazee katika maandamano

Hatimaye wakafika ofisi ya Mkurugenzi mnamo saa saba na nusu mchana

Mgombea wa ubunge (CHADEMA), Joseph Kashindye Mwandu akikabidhi fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga

Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya igunga ambaye ndiye msimamizi\ wa uchaguzi wa jimbo\ hilo Ndugu, Protus Magayane akisaini fomu iliyorejeshwa na mgombea wa CHADEM

Kashindye akisaini fomu za kukabidhi


Wakinamama wa Igunga wakipunga mikono na vigelegele kushangilia msafara wa CHADEMA wakati wakitoka kurudisha fomu

Hatimaye msafara ukafika katika ofisi za CHADEMA wilaya na kuahirishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora Ndugu, Mbaruku (Kulia mwenye nguo nyeusi) kwa kusisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi siku ya Alhamisi tarehe 8 sept 2011 siku ya uzinduzi wa kampeni\za uchaguzi.

    CUF warudisha fomu ya ubunge

    Mgombea wa ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mahona Leopard (kushoto), baada ya kuwasili katika ofisi ya Mkurungenzi Mtendaji wa wilaya ya Igunga (Picha na Elisha Magolanga

    Simamizi wa uchaguzijimbo la Igunga, Protus Magayane akipokea fomu kutoka kwa mgombea wa CUF (Picha na Elisha Magolanga)