Thursday, March 10, 2011
Community Action Group kutoka Tumaini University wlipotembelea hospitali ya mkoa wa Iringa
![]() |
Hapa ni mara tu! walipowasili Hospitalini |
![]() |
Wakisubiriana kuingia wodini kwa pamoja |
![]() |
Wakifanya mahojiano na muuguzi wa magonjwa ya vichaa |
![]() |
Muuguzi akieleza juu ya ugumu wa kazi ya kutibu vichaa |
![]() |
Wakiwa na zawadi zao kama mamajusi wa mashariki |
![]() |
Bonge naye hakuwa mbali na suala zima la kubeba watoto wachanga waliozaliwa hospitalini hapo |
![]() |
Ee bwana! katoto kazuri haka!!! |
![]() |
Taratibu wakijongea wodi ya wazazi ili kutoa zawadi zao kwa wazazi |
![]() |
Pole! mama Mungu atakusaidia utapona tu! hayo ndio maneno yaliyokuwa yakisikika kutoka kwa wanafunzi hawa |
![]() |
Wakafuka kwa muuguziwa wodi ya wanawake kupata maelezo juu ya uwajibikaji na changamoto wanazozipata kazini kutoka kwa muuguzi |
![]() |
Wakiwa bado katika mchakato wa kutoa zawadi zao kwa wagonnjwa |
![]() |
Babu huyu ni ombaomba katika lango kuu la hospitali ya mkoa wa Iringa CAG hawakumuacha hivihivi bali walimpa na yeye zawadi |
![]() |
Sasa wanaelekea kumaliza ziara yao. Wanakumbushwa kuwa kuna wanafunzi wenzao wamelazwa hospitalini hapo |
![]() |
Dada huyu akipokea simu yake |
![]() |
Ndipo walipofika wodi namba 10 kumuona CR wa BAJ 2 (Henry Mbilinyi) alipokuwa amelazwa. Drip ya kwinini kama kawaida ya malaria |
![]() |
Baada ya mzunguko mrefu wengine waliamua kukaa na kujipumzisha kivulini kwa soda briiiiidi1 kabisa huku wakizungumza kwa furaha |
![]() |
Frank Kimaro (kushoto) ndiye mwandishi wa habari wa zamu aliyefuatana na kikundi hiki katika kuhakikisha mchakato mzima wa habari unafaikiwa |
![]() |
Kijana aliyapigwa radi katika kijiji cha Dbaga mkoani Iringa akiwa amelazwa |
Subscribe to:
Posts (Atom)